A

A

News and Events

 

NEWS


 JUN

12

 

 JUN

00

 

Invitation to Join Form Five 2023/2024
Shule ya sekondari Arise inawakaribisha wazazi kuwaleta wanafunzi waliohitimu kidato cha nne kujiunga na masomo ya kidato cha tano mwaka wa masomo 2023/2024 katika mchepuo wa HKL, HGL, HGK na HGE.

Shule ina walimu wazuri na wakutosha kimwezesha mwanafunzi kufanya vizuri mitihani ya ndani na kitaifa.

Shule ipo katika mazingira mazuri na ina vifaa vya kutosha kujifunzia.

Masomo ya kidato cha tano 2023/2024 yataanza tarehe 09/06/2023

Karibuni sana

Bofya hapa kupakua fomu ya maombi.

DOWNLOADS

Form One 2023 Joining Instructions

School Rules and Regulations

Form five 2023 / 2024 Joining Instruction

A

A

ARISE
SCHOOLS

MWENYE HAKI ATAISHI KWA IMANI

OTHER LINKS
SITE VISITORS
SOCIAL MEDIA DIRECTORY

Copyright © Arise Schools, Mbeya, Tanzania, 2025. All right reserved.

Designed by: Msuha Alexander